Kitabu hiki ni ukumbusho kuhusu mambo mawili muhimu ambayo unaweza kukosa maishani. Fikiria umepoteza ufunguo wako wa nyumba. Ijapokuwa utaingia nyumbani kwako tena, itabidi uvunje mlango au uombe msaada. Kwetu sisi, tunafikiri huu ndio uwekezaji muhimu unaohitajika kufanywa. Wekeza maisha yako kwa Mungu na utapata thawabu kwa hilo. Pia, katika ulimwengu huu ili ufanikiwe unahitaji kuwekeza kwenye elimu. Ndiyo maana tuliamua kukushirikisha mambo haya mawili ambayo unaweza kukosa katika maisha yako.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.