Ikabidi umoja wa Afrika waandae majasusi watatu wa kuaminika. Pia jukumu hilo lipewe kwa mmoja wa viongozi wakubwa wa shirika la ujasusi Afrika ya mashariki (EASA) kwenda kusimamia kazi hiyo. Aliyotakiwa kuwaongoza vijana warudi na ushindi.
Operesheni iliyowabidi watu waende nchi yenye baridi kali. Wabadili majina yao na hata namna nyingine ya kutambulika, waishi kwa kufuata itifaki maalum. Wakae mahali wasipowahi kuishi, wakisubiri kufanya harakati yao kwa hatua iliyofuata. Ndiyo ikaja kukomboa bara zima baada ya kuhangaika sana, ikibidi hata kuhama nchi nyingine
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.








