Woga wa kuhisi angeondolewa uhai, sambamba na hamu ya kutaka kupambania maisha yake. vinafikisha hofu yake kwenye ukomo, badala ya kuogopa inageuka kuwa ukatili. Aliyotakiwa kuwawinda inabadilika yeye ndiye anayewawinda, tena kimya bila sauti tena kwa kuvizia kama chatu. Mwishowe inageuka mshike damu inamwagwa bila huruma.
Norbert Kaila naye aliyekuwa akifanya kazi kuchunguza uovu wa mzazi mwenza wa bosi wa Eliza. Alijikuta akipewa jukumu jingine, akitakiwa kuhakikisha binti anabaki salama. EASA walimhitaji kwa kuona upeo wake na ujasiri ule.
Ni UKOMO
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.








