55,99 €
inkl. MwSt.
Versandkostenfrei*
Versandfertig in 6-10 Tagen
payback
28 °P sammeln
  • Broschiertes Buch

IJUE LITURUJIA YA KANISA KATOLIKI ni wito wa kuifahamu liturujia sahihi ya Kanisa Katoliki. Kama Mtakatifu Yeronimo anavyosema, kutokufahamu Maandiko Matakatifu ni kutokumfahamu Kristo, vivyo hivyo kutoifahamu Liturujia ya Kanisa Katoliki ni kutolifahamu Kanisa Katoliki na Imani yake. Kiufahahamu Liturujia ya Kanisa Katoliki kuna faida zifuatazo: ¿ Waamini kushiriki kikamilifu na kwa maana katika Misa na Sakramenti nyinginezo.¿ Waamini kuimarisha Imani na maisha yao ya kiroho.¿ Kunakuza hali ya jumuiya na umoja miongoni mwa Waamini.¿ Huwasaidia Waamini kuthamini urithi wao wa kiroho.¿ Kunahimiza ushiriki hai, badala ya kuwa watazamaji tu katika ibada.…mehr

Produktbeschreibung
IJUE LITURUJIA YA KANISA KATOLIKI ni wito wa kuifahamu liturujia sahihi ya Kanisa Katoliki. Kama Mtakatifu Yeronimo anavyosema, kutokufahamu Maandiko Matakatifu ni kutokumfahamu Kristo, vivyo hivyo kutoifahamu Liturujia ya Kanisa Katoliki ni kutolifahamu Kanisa Katoliki na Imani yake. Kiufahahamu Liturujia ya Kanisa Katoliki kuna faida zifuatazo: ¿ Waamini kushiriki kikamilifu na kwa maana katika Misa na Sakramenti nyinginezo.¿ Waamini kuimarisha Imani na maisha yao ya kiroho.¿ Kunakuza hali ya jumuiya na umoja miongoni mwa Waamini.¿ Huwasaidia Waamini kuthamini urithi wao wa kiroho.¿ Kunahimiza ushiriki hai, badala ya kuwa watazamaji tu katika ibada.