Nicht lieferbar
Kwa Nini Fisi Hucheka - Kola
Schade – dieser Artikel ist leider ausverkauft. Sobald wir wissen, ob und wann der Artikel wieder verfügbar ist, informieren wir Sie an dieser Stelle.
  • Broschiertes Buch

Vitabu vya Nyota vimetungwa maksudi ili viwawezeshe wanafunzi katika Afrika Mashariki kujifunza lugha ya Kiswahili katika hali ya kuburudisha. Kuna mengi ya kujifunza, yaliyomo na hata mitindo tofauti iliyotumiwa. Watoto watajifunza haya yote. Kwa nini fisi Hucheka ni mkusanyiko wa hadithi fupi za kusisimua zilizonuiwa kusomwa na watoto wa darasa la tatu, la nne na la tano.

Produktbeschreibung