Nicht lieferbar
Punda Alivuruga Bunge - Mutonya, Mungai
Schade – dieser Artikel ist leider ausverkauft. Sobald wir wissen, ob und wann der Artikel wieder verfügbar ist, informieren wir Sie an dieser Stelle.
  • Broschiertes Buch

Punda Alivuruga Bunge ni hadithi ya kusisimua sana kuhusu punda wawili wanaharakati wa kuzitetea haki za wenzao. Wanavitumia vipawa vya kuhamasisha na kuisema lugha ya watu, kuvamia bunge, kuwasilisha malalamiko, na kutishia mgomo wa punda. Vituko vinavyofuata vikiwemo safari za Marekani na Mehiko vinatia nuru, vinachekesha, na vinazua taharuki ya utekaji nyara na ugaidi. Je, mikakati ya ukombozi itazaa matunda au itatibua nyongo? Kitabu kimegawanywa sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ni historia na maendeleo ya maisha yaliyoelekeza uvamizi wa bunge la kitaifa. Sehemu ya pili inafuata punda hao…mehr

Produktbeschreibung
Punda Alivuruga Bunge ni hadithi ya kusisimua sana kuhusu punda wawili wanaharakati wa kuzitetea haki za wenzao. Wanavitumia vipawa vya kuhamasisha na kuisema lugha ya watu, kuvamia bunge, kuwasilisha malalamiko, na kutishia mgomo wa punda. Vituko vinavyofuata vikiwemo safari za Marekani na Mehiko vinatia nuru, vinachekesha, na vinazua taharuki ya utekaji nyara na ugaidi. Je, mikakati ya ukombozi itazaa matunda au itatibua nyongo? Kitabu kimegawanywa sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ni historia na maendeleo ya maisha yaliyoelekeza uvamizi wa bunge la kitaifa. Sehemu ya pili inafuata punda hao wawili kwenye safari yao Marekani walikojipata kwenye vituko vya kusisimua na vingine vya hatari.