"Kama Mkristo, mguso mkubwa na mzuri maishani mwako unatakiwa kuwa Roho Mtakatifu. Kitabu hiki kinakuwezesha kuelewa jinsi gani tabia yako, dhamira yako, ubunifu wako na hata uwezo wako wa kuwa mtakatifu unaweza kushawishiwa na Roho Mtakatifu. Kupitia kitabu hiki cha ajabu cha Dag Heward-Mills, lazima umruhusu Roho Mtakatifu akushawishi, akutie moyo na abadilishe maisha yako milele."
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.