Kuja kuchunguza alibaini alifukuzwa nyumbani na pia mama yake hana habari naye. ila bado aliendelea kushinikiza atumiwe pesa ya matumizi. Kibaya zaidi alijiingiza kwenye madawa ya kulevya na mtu aliyemwingiza alikuwa akimtumikisha alikuwa na mkono mpana mjini.
Alishindwa kupambana naye waziwazi, ikabidi aende kuomba msaada wa mwandishi mfichuaji maovu. Ndiyo hapo akafika mezani kwa Norbert Kaila aliyempokea na kuahidi angepambania haki yake. ikageuka kuwa kisa cha aina yake, baada ya kigogo yule kuamua kuonesha yeye ni nani hapo mjini.
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.








