3,49 €
3,49 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
3,49 €
3,49 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
Als Download kaufen
3,49 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar
payback
0 °P sammeln
Jetzt verschenken
3,49 €
inkl. MwSt.
Sofort per Download lieferbar

Alle Infos zum eBook verschenken
payback
0 °P sammeln
  • Format: ePub

Wakulima wanadai haki zao, walizotakiwa kulipwa baada ya serikali kununu zao la korosho kipindi ambacho soko ni gumu. Ikabidi waje kulipwa baadaye na siku ambayo malipo yanatumwa likatokea jingine . Pesa iliyotoka hazina kwenda kufanya malipo si ile ambayo imefika. Ilitakiwa kulipwa bilioni hamsini za shilingi ya kitanzania ila imekuja kufika thelathini pekee. Iliyobaki haijulikani ilipo. Ikiwa ni uzandiki mkubwa uliyofanyika, usiyotakiwa kufumbiwa macho.
Suala hilo linakuja kuangukia mikononi mwa EASA walipoamua kulichunguza na pia kumpatia jasusi wao wa kike, mwenye umakini kurudisha
…mehr

  • Geräte: eReader
  • mit Kopierschutz
  • eBook Hilfe
  • Größe: 0.32MB
  • FamilySharing(5)
Produktbeschreibung
Wakulima wanadai haki zao, walizotakiwa kulipwa baada ya serikali kununu zao la korosho kipindi ambacho soko ni gumu. Ikabidi waje kulipwa baadaye na siku ambayo malipo yanatumwa likatokea jingine . Pesa iliyotoka hazina kwenda kufanya malipo si ile ambayo imefika. Ilitakiwa kulipwa bilioni hamsini za shilingi ya kitanzania ila imekuja kufika thelathini pekee. Iliyobaki haijulikani ilipo. Ikiwa ni uzandiki mkubwa uliyofanyika, usiyotakiwa kufumbiwa macho.

Suala hilo linakuja kuangukia mikononi mwa EASA walipoamua kulichunguza na pia kumpatia jasusi wao wa kike, mwenye umakini kurudisha majibu ya sakata hilo na pia pesa zipatikane. Safari ya hatari na ikibidi kuondoa maisha ya adui ili uishi, ndiyo ikaanzia hapo.

Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.

Autorenporträt
Iam Tanzanian author, I was born in Tanga city in Tanga region in Tanzania. I wrote different novels such as:
KIDUDUMTU
WITO WA KUZIMU
DHAHAMA
SHUJAA
TENDAGURU
JINAMIZI