Kazi ambayo aliitenda kwa wema inageuka kuwa chungu ya maisha. Anakionja kifungo na akiwa huko gerezani, kunafanyika mchezo mwingine mchafu. Hakutakiwa kuwa anajikuta akipangiwa njama ya kumuua.
Mwaka mmoja baadaye toka iliposemekana aliuawa. Uhakiki wa vyeti bandia kwa watumishi wa umma unaanzwa kwa hatua za awali kabla ya kutangazwa. Ajabu mwenye kujulikana ndiye mwenye vyeti halisi, ilibainika ni feki huku afisa wa jeshi aliyefukuzwa na kufungwa akajulikana kauawa ikionekana ni halisi.
Suala linamfika Norbert Kaila, anayeamua kuingia kazini kulichunguza. Mapya yanaibuka kukiwepo mtandao mpana sana, uliyoshika mzizi ndani ya vyombo vya ulinzi na usalama
Dieser Download kann aus rechtlichen Gründen nur mit Rechnungsadresse in A, B, CY, CZ, D, DK, EW, E, FIN, F, GR, H, IRL, I, LT, L, LR, M, NL, PL, P, R, S, SLO, SK ausgeliefert werden.








